Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hilo group limetokana na jf?

Nikiri tu kuwa huu uzi wako umenihamasisha sema tu ndio hivyo tena, hawa ndugu zangu ma-bachelor wasipoufanyia kazi huu uzi basi tena, there's no other way to help them.

Kuna wadada kwa "mwandiko na muonekano" tu una-fall kizembe tu na kama ni kujuta si baadae huko!![emoji23][emoji23][emoji23]
Am watching you[emoji848]
 
[emoji616]
IMG_20191209_202745.jpeg
 
Back
Top Bottom