Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,315
Shamba lenye rutuba halikosi mmiliki, ukiona shamba liko hovyo jua hata panya hakai 🦅😅 inabidi utengeneza na equation kabisa tuwe na formula
Shamba lenye rutuba halikosi mmiliki, ukiona shamba liko hovyo jua hata panya hakai 🦅😅 inabidi utengeneza na equation kabisa tuwe na formula
Kijana wetu Razorblade ana sikitisha sana, kiufupi ana piga pipa 😂🤣Inasikitisha sana mkuu, mm mpaka sasa nalia mpaka wamama wa mtaani wameniletea uji wa mchele 😭
Muongoo huyoo!! 😂😂😂😂
😂😂😂😂 ile weweeeTupo kwenye Confusedship...
Relationship imeisha😃😃
Pole si unajua hapa hatuachi picha muda mrefuNimekuta tag tu mama mtu sijaambulia kitu 😂
Uneanza lini roho mbaya😄Utakuja ufe kichwa wewe🤣🤣
Hafi mtu hapaAiseee 😃nyonga mkalia ini sio🤣
Kaka Razor nipo na wewe mpaka wakuue🤣
Or what is our situationship??😃😃😃😂😂😂😂 ile weweee
Nilishasema nipo na kijana wetu mpaka umuue 😃😃Uneanza lini roho mbaya😄
Wewe, umeenda kufanya nini huko tena?
Mi nmekaa zangu tu wakanivamia🥹Wewe, umeenda kufanya nini huko tena?
Sawa mamaMi nmekaa zangu tu wakanivamia🥹
Sawa mama
Pumzka tu mama ukueNgoja nikalale🤭
😁😁😁😁Pumzka tu mama ukue
nataka vyote aunt😂😂😂😂😂😂😂
Ila shangazii nimecheka sana, kwanini lakinii?.
Unataka yawaje? Meupe? Au Dental form?
Nina mashavu kama mimba ya panya naona aibu kupiga picha 😂😂Mara ya mwisho kukuona nikipindi kile cha sofi, hebu fanya namna utubless cheupe wetu.