Hii supu mkuu mshana unakunywa saa tisa usiku
🤣🤣🤣🤣Pofu kama Pofu. Niliona mmewekewa na wildlife hapo inajina Kamala kikosi, sasa hivi mnawapataje au ndio ujirani mwema?View attachment 3489561
Fake P embu toa wazo hii niifanyaje ili isije haribika ase kote kumejaaa leo ungekuwepo ungenona
🤣🤣 now wanazagaa ovyo majan hamna so wakaomba tu kibari wakaingia porini khanga wame tapakaa tu🤣🤣🤣🤣Pofu kama Pofu. Niliona mmewekewa na wildlife hapo inajina Kamala kikosi, sasa hivi mnawapataje au ndio ujirani mwema?
Khalas 😂
Hii ni nini? 😂Tupo kwenye Confusedship...
Relationship imeisha😃😃
Hii comment ulipaswa uisindikize na nyimbo ya Mbosso-Picha Yake.Utakuja ufe kichwa wewe🤣🤣
Inabana 😂Kijana wetu Razorblade ana sikitisha sana, kiufupi ana piga pipa 😂🤣
Daah! Nipo dilema 😂Muongoo huyoo!! 😂😂😂😂
Nipe muda na siku tu ma mtu maana bila hivyo inaweza nipita tena.Pole si unajua hapa hatuachi picha muda mrefu
Nitakutag tena
Anayo siku nyingi mbona na sasa imekomaa 😂Uneanza lini roho mbaya😄
Maybe your situationship is citizenship 😂Or what is our situationship??😃😃😃
Labda mkono wakoInabana 😂
😂😂 Naikumbuka vizuri