Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 7,285
- 21,574
Hivyo hivyo ulivo mi nakuelewa ebu fanya jambo alafu namimi ntahakikisha mwaka huu nakulimia bure, kukupa mbegu bure na kunyeshea katika shamba lako kule shy town.Nina mashavu kama mimba ya panya naona aibu kupiga picha 😂😂