Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,212
- 86,850
πΉπΉπΉπΉπ€£π€£πππππ uduguu usinijazee, ila nini nimekosa umbo mie kwa kweli. Vinginevyo ningekimbiza qumamake.
Kuna siku nilimuona mtu, sidhani km ni kidampa yule, sikunote kitu, ila jinsi alivyo, unajua ana hips? Afu tako kwa mbalii, alivaa modo ya kitambaa, na shati la 4m 6, chini kapiga sandols.
Nilijisemea, "jamani si ningepewa lile umbo mie niwape heka heka waja"
ππππππ
Woyoooooooo.!! Umeona sasa unatakiwa ukubaliane na macho yangu..!!
Wewe siku hizi shape inanunuliwa, paa pipa ukaji Jennifer Lopez unafeli wapi??
We hushangai siku hizi town kila mtu yupo km Nick Minaj? πΉπΉ
Chana wallet udugu kila kitu kinapambaniwa..!!