Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hata huko uchagani sio sehemu zote unaweza kupata kitu og ni machimbo maalumu na kwa watu maalumu tu😅
Ujue nyie vijana hamjui

Kuna mbege ya aina mbili,
1 kuna mbege unapika ndizi mbivu for 6 hrs kisha unaacha ipande unakamua. Kisha unapikia ulezi kimea unamix
2. Kuna aina ya mbege wanapika marangu ndani ndani wanakanda kama maandazi au unavaa nailini unaikanyaga kanyaga. Ndizi mbivu + majani kisha juisi inachanganyw na ulezi
-jichanganye unywe hii

Hiyo ya leejay inaweza kuwa mbege ya pili, nashindwa kujua kwa nini imepata rangi hito. Kuna kitu kimeendelea hapo kati
 
Mkuu nimekunywa mbege , machame ,kibosho ,uru ,marangu ,mamsera , mkuu, mashati na users

Mbege ipo
1 kibosho

2marangu

3mashati

Machame ni juice ya azam

Usseri ni mbege iliyochanganywa na gongo

Mkuu ni damu ya yesu yenye ladha ya mbege

Uru , wanajitahidi kidogo .
 
Unakariri mbege inatengenezwa unavyozani wewe kuna mbege za matajiri kipindi hicho,

Juice haijawahi kumlewesha mtu

Unakunyw unalewa hatari tena hiyo ambayo hupiki sinywi - sio poa
 
Eti jichanganye unywe hii😂😂
Inaonekana hiyo ya pili ndio Kali yenyewe ya watu kulewa Hadi kuvua nguo
 
Unakariri mbege inatengenezwa unavyozani wewe kuna mbege za matajiri kipindi hicho,

Juice haijawahi kumlewesha mtu

Unakunyw unalewa hatari tena hiyo ambayo hupiki sinywi - sio poa
Nilitenga mda wangu kuzunguka mkuu , na nilikua nashuka natafuta ile sehemu mbege ni nzuri ,..

Kibosho huwa hatuna mpinzani inajulikana

Marangu kuna sehemu wanapika mbege nzuri

Pia mashati wanatisha sana.
 
Mkuu nimekunywa mbege , machame ,kibosho ,uru ,marangu ,mamsera , mkuu, mashati na users

Mbege ipo
1 kibosho

2marangu

3mashati

Machame ni juice ya azam

Usseri ni mbege iliyochanganywa na gongo

Mkuu ni damu ya yesu yenye ladha ya mbege

Uru , wanajitahidi kidogo .
Hapo umemaliza, asipokuelewa tena basi !
 
Nilitenga mda wangu kuzunguka mkuu , na nilikua nashuka natafuta ile sehemu mbege ni nzuri ,..

Kibosho huwa hatuna mpinzani inajulikana

Marangu kuna sehemu wanapika mbege nzuri

Pia mashati wanatisha sana.
Nantombe - ila hii salamu yenu inaniachaga hoi.

Kibosho kuna ndizi bana lazima usifike kwenu. Nilifika huko kwa rafiki zangu akina Temba nikanyw mbege nikaona ya kawaida. Na wale jamaa ni walevi tulichinja mbuzi wakaloweka nyama nyama kwenye k vant. Jau sana

Mimi natokea mkuu Rombo, natokea pande za juu kabisa tumepakana ma msitu. Huko mashati ulipopita huko kote ni Rombo

Kule juu ndizi zipo na mbege kuna ndizi ambazo hupendeza zaidi

Kuna siku babu alipika mbege na ndizi kisukari tu, ile mbege ilippiva akaweka ili ipande.

I remember that day we slaughtered a goat, babu alichukua paja zima akambumbukiza kwenye mbege walahi I was amazed, kuja kutoa nyama imeiba
, sijawah kula nyama tamu kiasi kile toka nizaliwe. .

Kuna ndizi hufanya mbege ilawa tamu zaidi na kuna ndizi mbege huwa ya kawaida.

Ukanda wetu wa juu una mvua, hata huko marangu (nimeoa mmasai mmarangu wao wako ukamda wa chini ndizi sio kivile) kla ukanda wa juu una ndizi nyingi mvua baridi

Ukipata mbege ya ukanda we milimani juu utaifurahia zaidi
 
😅😅
 
Hii ndio wife material sasa titi kama la Lamomy
chagua amoya hapo . nikuletee
Screenshot_20250823-162536.png
 
Back
Top Bottom