Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,059
- 61,315
Mzee mwenzangu pamoja na kwamba hayo mambo tumestaafu kutokana na Umri, lakini nimeshindwa kujizuia kusifia hizo lips laini na hiyo chocolate color
Nimelazimika kuvaa miwani yangu ya macho ili niweze kuona Kwa ukaribu
To be honest, miaka hii PisiKali ni nyingi kuliko Mwaka 47
Nadhani hii mixing ya Baba Mkurya anaenda Kuoa Mrangi ndiyo inatuletea haya matunda š¤