Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 19,295
- 60,915
Huwaga ni ya rangi gani kwani?😅Mbege nyekundu😅😅 umepigwa
Huwaga ni ya rangi gani kwani?😅Mbege nyekundu😅😅 umepigwa
Huwaga ni ya rangi gani kwani?😅
Mbona kama juice cola, orange flavour 😎Sema wachaga mbege mnaisifiaga Sana,. Anyway ni tamu Gily Gru View attachment 3450109
Anadai ni mbege eti😅 wamekula pesa yake ya bure bwasheeMbona kama juice cola, orange flavour 😎
Hiyo inaonekana nzito,. Basi huku hawajui kutengeneza maana ni nyekundu halafu nyepesi,.
Halafu ni buku eti😭😂Anadai ni mbege eti😅 wamekula pesa yake ya bure bwashee
Assume umetoa sadaka kwa viwete wasioweza tengeneza mbege😅Halafu ni buku eti😭😂
Hakuna mbege ya hivi aisee, amepigwa mchana kweupe 😃Anadai ni mbege eti😅 wamekula pesa yake ya bure bwashee
Mbona ulezi sioni? Sio chai ya Tangawizi au rozela unaongeza damu😀Sema wachaga mbege mnaisifiaga Sana,. Anyway ni tamu Gily Gru View attachment 3450109
wapi hiyo mkuu
Zenu mbona zinaonekana nzito na nzuri jamani.,Nifundishe basi gily kupika mbege nzuriHii nilipik mwenyew nikatia kweny fridge mwaka juzi @ Leejay View attachment 3450136
Dah😂😂Mbona kama juice cola, orange flavour 😎
Hata huko uchagani sio sehemu zote unaweza kupata kitu og ni machimbo maalumu na kwa watu maalumu tu😅Zenu mbona zinaonekana nzito na nzuri jamani.,😍
Hahaha 😂 😂,. Naona haina hata hizo vidude vya kuvipuliza iko Tu plainAssume umetoa sadaka kwa viwete wasioweza tengeneza mbege😅
Kwanza ukinywa mbege yenyewe lazima macho ya funguke kama kina Adam na hawa walivyokula tundaHahaha 😂 😂,. Naona haina hata hizo vidude vya kuvipuliza iko Tu plain
Weee sema kweli,. Hiyo ulitengeneza mwenywe au amenunua?Hata huko uchagani sio sehemu zote unaweza kupata kitu og ni machimbo maalumu na kwa watu maalumu tu😅
Eti kuna mtu anakunywa mbege analewa?, seriously?Kwanza ukinywa mbege yenyewe lazima macho ya funguke kama kina Adam na hawa walivyokula tunda
Hueleweki, mimi sijui km anko t shoga ndiomana nimekuuliza..!!Hahaaaa usha sahau mara hii tu umenambia nani kanambia kuwa anko t ni shoga, na uhakika Gani saivi Tena umeruka ok tuyaache
Fullstop, kwishaaaa