cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,943
Afu sijui kwanini sijawahi shughurika na hayo mambo.Kwakweli mambo ni mengi
Utasimamia uchaguzi upate Hela😂
Km usimamizi wa uchaguzi, sijui sensa, yaan sio vitu vyangu kabisaa. Lol
😂😂😂😂😂
Afu sijui kwanini sijawahi shughurika na hayo mambo.Kwakweli mambo ni mengi
Utasimamia uchaguzi upate Hela😂
Nasubiri we kwanza ,familia na ukoo tukifika utuwekee😂Ukitupia niite, nami nitaitika.
Sawa 😂😂Pitia na kwangu, uje KUNISABAHI.
SS shoo so tunatafuta Hela tuAfu sijui kwanini sijawahi shughurika na hayo mambo.
Km usimamizi wa uchaguzi, sijui sensa, yaan sio vitu vyangu kabisaa. Lol
😂😂😂😂😂
Yaan siwezagi vitu vya connection na kujikomba kwa fulani.SS shoo so tunatafuta Hela tu
😂
😂😂😂Nchi yenyewe hii bila connection majanga🙌Yaan siwezagi vitu vya connection na kujikomba kwa fulani.
Kunae mtu mwaka jana uchaguzi wa SZM, waligawana hela na WEO kisa kumuweka hapo
Sasa mie hayo mambo ya nn? 😂😂😂😂😂
Hata km, kuna vingine ni vya kuviacha tyuuh.😂😂😂Nchi yenyewe hii bila connection majanga🙌
Jana ndio niliona tangazo lake nikakumbuka avatar Yako ni ya pirate of Caribbean 😊😊Hahahaha kwa nini umeuliza bwashee 😅
Sijui hata wapare hoyee 😂🤣Ndio hao, afu kuna washana ni wasambaa?
Nahisi km vilee.
Sawa, mtaniita. 😂Nasubiri we kwanza ,familia na ukoo tukifika utuwekee😂
HahahahaJana ndio niliona tangazo lake nikakumbuka avatar Yako ni ya pirate of Caribbean 😊😊
😂😂😂😂Sijui hata wapare hoyee 😂🤣
OK ngoja nitakua na kutag za kawaida.Ngoma za mapenzi sijui nazionaje
Za diniOK ngoja nitakua na kutag za kawaida.
Jana na leo min!!
Hahaha ile ilikua ya wakati husika madam tusubiri awamu nyingine tena😇Jana na leo min!!
Nimepitwa rudia tena!
Vibaya hivoooo... Muda huo Ulikuwa na mudi ausio!! 😁 Jamani nimekosa uhondo mimi 🙆🙆Hahaha ile ilikua ya wakati husika madam tusubiri awamu nyingine tena😇
Hongereni sanaNdio kajukuu kakwanza lazima tukazingatie😜😜