dosho12
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 3,732
- 9,963
hyo ni Thunderbolt unayocheki ?
hyo ni Thunderbolt unayocheki ?
Ndio kaka nilikuwa nairudia maana yule mtoto Yelena kazuri mnohyo ni Thunderbolt unayocheki ?
Hahahaha safi bwashee, nitafutie mtoto mzuri wa kibantuMje niwapigieni muziki mzuri wanangu 😎
Kuja chapu kigamboni hapa twenzetu nalasko wapo kama woteHahahaha safi bwashee, nitafutie mtoto mzuri wa kibantu
Hahahah sawaKuja chapu kigamboni hapa twenzetu nalasko wapo kama wote
Yaani una msimbazi unasema umechalala!Nkamu nimechalala leo 😹😹
Mwanetu mwenyeweLamomy nipo tizi na asela kitaaView attachment 3437759
Kupasha mwili muhimu sna bwasheeMwanetu mwenyewe
😂😂😂😂Woyooooooooo
Inabubujisha machozi mengi sana.Inasikitisha sana mkuu 😎
Twenzetu tukarushe hela hewani Kuna laki moja hapa bwasheeKupasha mwili muhimu sna bwashee
Chuma kiko wapi unachonyanyua?Lamomy nipo tizi na masela kitaaView attachment 3437759
Hapo nimetoka kimbia madamChuma kiko wapi unachonyanyua?
Hahahhaa hiyo tunywe bia tatu tatu bwasheeTwenzetu tukarushe hela hewani Kuna laki moja hapa bwashee
OkeeHapo nimetoka kimbia madam
Nimefika, nipe kitu 😅
Umeona?Nimefika, nipe kitu 😅
😍 Nimeona body ya mazoezi mangi 🙌🏽Umeona?
Dah naishiwa pawa sasa