cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,941
Uduguu nani kakukamata na umekamatikaa?Kama kosa la macho ๐ฅน
Hata mkiziba nsimuone ๐
Ndani ya moyo wangu namuona yeye โค๏ธ๐
Oooh kimaso maso wenye wivu mukome ๐
Mtaambulia matandu solo nala na yeye ๐ป
Na mkisema ananichuna ntampa paka BOT๐ฐ
Kama penzi taaluma basi ye ana degree ๐
Kwake simezi mezi azuma kitu swafi og ๐
Midomo itawanuka kwa kununa ๐
Mngetafuna ata bigijiiโฆ. ๐ก
Mapenzi matamu bhana, sijui nimtag..!! ๐น๐น๐น
Mbna naogopaaa!! ๐๐๐๐๐