Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 2,136
- 6,062
Nina bahati ya kupendwa na kina Meku sijui ๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐๐ akina Meku? Sijui naonaje vilee.
Migombani unakukubali sanaa eeh.
Nina bahati ya kupendwa na kina Meku sijui ๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐๐ akina Meku? Sijui naonaje vilee.
Migombani unakukubali sanaa eeh.
Mie waparee, ๐๐๐๐Nina bahati ya kupendwa na kina Meku sijui ๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ
hizo ni kemera tuu ๐๐Haaahaa upo vizuri wewe hufanani hata na CHOCHOTE CHA remmy ongala
Keshooooo!!!Fanya kama umekosea !!
Afu sisi hatuna time ya kugombania manzi anakula anakupasishia ๐๐ฉSijui mimi Sasa wewe jichanganye ๐คฃ๐คฃ
๐๐๐ hahaha, sasa mimi wachaga ๐ utadhani na mimi wa nyumbani kwao wanavyoniandamaMie waparee, ๐๐๐๐
Nkabahatisha na huyu mmeru,
Wapare wako na mie hadi wanikaushe kwa makande..
๐๐๐๐๐๐
๐๐๐๐๐ wapare hoyeee!!!๐๐๐ hahaha, sasa mimi wachaga ๐ utadhani na mimi wa nyumbani kwao wanavyoniandama
Usijariiii, ๐๐๐๐๐Nistue chap!! Nije kufanya upembuzi yakinifu nikupe majibu nani kamzidi mwenzie๐คฃ๐๐ป
Si ndiyo ndugu zake Mshana ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐๐๐ wapare hoyeee!!!
Kaskazini mokoo.
Huku porini elfu 9Nyama kilo moja unajua shingapi nkamu? ๐น
Umesubiri nilale udugu ๐ฅ
Mna raha aiseee..!!Huku porini elfu 9
Na chenji inarudi yaani
Kule napapenda ndio jukwaa lilofanya nikajiunga JF ๐นJukwaa la siasa ๐๐
๐น๐น๐นNa EP ya nyongeza ๐๐คฃ
Irudiwe jamani๐ฅน