Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 3,355
- 9,428
Sawa 😂Imetokea tu 😂
Sawa 😂Imetokea tu 😂
Hongera kwa kuwa mama, katoto kana afya tele na mwili mzuri.
Ndio hao, afu kuna washana ni wasambaa?Si ndiyo ndugu zake Mshana 🤣🤣🤣
Umeanzaaa fix sasa uduguu, khaaahUmesubiri nilale udugu 😥
Haya ukiingia uirudishe nikuone trotoo lenye rangi ya dubenga.., 😍
Mama mtumishi nimepitwaaa? 😢😢😢Napitaaaaa
Hapana ht sijatupia Leo 🤣Mama mtumishi nimepitwaaa? 😢😢😢
Ukitupia nitag mama mtumishi. 😂😂😂Hapana ht sijatupia Leo 🤣
Kuna siku nilikuota hukuotika sijui ulikuwa wapi😂Ukitupia nitag mama mtumishi. 😂😂😂
Ukitupia niite, nami nitaitika.Hapana ht sijatupia Leo 🤣
Pitia na kwangu, uje KUNISABAHI.Napitaaaaa
Mama mtumishi siku hizi mambo mengi.Kuna siku nilikuota hukuotika sijui ulikuwa wapi😂
Asanteeee🥰🥰🥰Hongera kwa kuwa mama, katoto kana afya tele na mwili mzuri.
😘😘
Em nibless basi mchana huu hamna watuPoleee Dear!! Unalalaje mapema sasa?
😂😂😂😂😂
Ndio kajukuu kakwanza lazima tukazingatie😜😜Wape hongera Wazazi/Walezi wake, mtoto anaonekana mwenye afya tele.
Ni wazi anakula na kushiba vizuri bila kusahau Kulala vizuri
Inanikumbusha last born wetu na Bibi yenu Mwaka 47
Wapo wengii sana hapaa. 😂😂😂Em nibless basi mchana huu hamna watu
🍻Asanteeee🥰🥰🥰
Watu wameenda kula,. Niamini Mimi 😃Wapo wengii sana hapaa. 😂😂😂
Subiri baadae kidogo.
Kwakweli mambo ni mengiMama mtumishi siku hizi mambo mengi.
Yaan nakimbizana na life, had Co poaa.
😂😂😂😂😂
Wee thubutuuu!! Subiri nimalizie kazi hapa, afu natupia usijari.Watu wameenda kula,. Niamini Mimi 😃