cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,296
- 187,946
😂😂😂😂 akina Meku? Sijui naonaje vilee.🤣🤣🤣 tunaweza tu kwanza mimi huko huko Migombani ndiyo nakutaka
Migombani unakukubali sanaa eeh.
😂😂😂😂 akina Meku? Sijui naonaje vilee.🤣🤣🤣 tunaweza tu kwanza mimi huko huko Migombani ndiyo nakutaka
Nina bahati ya kupendwa na kina Meku sijui 🙌🤣🤣🤣😂😂😂😂 akina Meku? Sijui naonaje vilee.
Migombani unakukubali sanaa eeh.
Mie waparee, 😂😂😂😂Nina bahati ya kupendwa na kina Meku sijui 🙌🤣🤣🤣
hizo ni kemera tuu 😂😂Haaahaa upo vizuri wewe hufanani hata na CHOCHOTE CHA remmy ongala
Keshooooo!!!Fanya kama umekosea !!
Afu sisi hatuna time ya kugombania manzi anakula anakupasishia 😂😩Sijui mimi Sasa wewe jichanganye 🤣🤣
😁😁😁 hahaha, sasa mimi wachaga 🙌 utadhani na mimi wa nyumbani kwao wanavyoniandamaMie waparee, 😂😂😂😂
Nkabahatisha na huyu mmeru,
Wapare wako na mie hadi wanikaushe kwa makande..
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 wapare hoyeee!!!😁😁😁 hahaha, sasa mimi wachaga 🙌 utadhani na mimi wa nyumbani kwao wanavyoniandama
Usijariiii, 😂😂😂😂😂Nistue chap!! Nije kufanya upembuzi yakinifu nikupe majibu nani kamzidi mwenzie🤣🙌🏻
Si ndiyo ndugu zake Mshana 🤣🤣🤣😂😂😂😂😂 wapare hoyeee!!!
Kaskazini mokoo.
Huku porini elfu 9Nyama kilo moja unajua shingapi nkamu? 😹
Umesubiri nilale udugu 😥
Mna raha aiseee..!!Huku porini elfu 9
Na chenji inarudi yaani
Kule napapenda ndio jukwaa lilofanya nikajiunga JF 😹Jukwaa la siasa 😁😁
😹😹😹Na EP ya nyongeza 😂🤣
Irudiwe jamani🥹