Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,276
- 95,555
HahahahaDoh!
HahahahaDoh!
Hapana aiseeee hapana kabisaaaHahahaha, huyataki
Get prepared... Yajayo yatafurahisha zaidi.[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Can't wait to meet you there!!
HahahahaHapana aiseeee hapana kabisaaa
Chini huko nimepaelewa zaidiKama hivyo, weekend imeanza.View attachment 1283417
Haha, kweli waganga wanafaidi, anajionea nyuchi kila akijisikia tu manake hawakauiki kwake[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16]Ahera
Haha, kweli waganga wanafaidi, anajionea nyuchi kila akijisikia tu manake hawakauiki kwake[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu, sisi hatutaki kusikia habari mbaya ITV "habari za saa". High speed kills, kwani unaenda wapi huko kusikofíkika? Slow dowñ and drive responsibly.
Ba J 💕My [emoji173]
Chini huko nimepaelewa zaidi
Hahahaha, na wanavyopenda hayo mamboHaha, kweli waganga wanafaidi, anajionea nyuchi kila akijisikia tu manake hawakauiki kwake[emoji23][emoji23][emoji23]
Amakweli hawara hana talaka.Hahahaaa..
Hapana mkwe..! Si unajua sufuria la zamani halitupwi...utaliweka tuu store ipo siku litakufaa.[emoji12][emoji12]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Thubutu yake. Kipilipili changu nakilinda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
HahahahaahhFanya kama android basi..
Update Existing [emoji23][emoji23]
Nimtese na nini sasa? Mbona hupendi maendeleo yangu mkwe?[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Unataka ukitese kizee cha watu kijifie, urithi mali eenh [emoji2960]
Woyoooooo!!!Get prepared... Yajayo yatafurahisha zaidi.
Shee hayo macho kama umeona konyagi vipi tena?[emoji87][emoji44][emoji87][emoji848]
Ndo maana na mimi nataka kukuwa mgangaHaha, kweli waganga wanafaidi, anajionea nyuchi kila akijisikia tu manake hawakauiki kwake[emoji23][emoji23][emoji23]