Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,790
- 182,962
Sitaki, selfika.Pole shindii
Sitaki, selfika.Pole shindii
Mpaka nilewe shindii 😅Sitaki, selfika.
Si unalewa lakini!Mpaka nilewe shindii 😅
Shindii silewi kabisa😭Si unalewa lakini!
Basi lewa uje nikuone.Shindii silewi kabisa😭
labda niongee kifaransa kudadadeki, Sina uoga wa kikunguru 😂🤣Sawa kaka ,zimefika siku nikutumie namba ya shemeji uwe unawasiliana naye direct .
Kikubwa uanze na jambo afande
Shindii mimi ni mtu wa kuona maiti kila siku 😭 leo kijana mdogo , ni binti wa rika la binti yangu amenitoka mikononi mwangu najisikia vibaya mno , nafikiri kwa ufupi unaelewa jinsi napenda watu waishi hata kwa niaba yangu nipo tayari 😥😥Basi lewa uje nikuone.
😆😆Kheeeh kumekuaje tena huku? Si tulifurushwa humu. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Loooh! Pole sana shindii🙆♂️Shindii mimi ni mtu wa kuona maiti kila siku 😭 leo kijana mdogo , ni binti wa rika la binti yangu amenitoka mikononi mwangu najisikia vibaya mno , nafikiri kwa ufupi unaelewa jinsi napenda watu waishi hata kwa niaba yangu nipo tayari 😥😥
Asante kaka Mshana nitapambana kujilinda😊Marahaba mdogo wangu linda sana hako kamwili ni ka kipekee na ka gharama sana🔥😍
Karibu ugali samaki mkavu na kachumbari mtoto mzuri
Asante sana, mie nishakula.Karibu ugali samaki mkavu na kachumbari mtoto mzuri
Kwa saa ngap nowAsante sana, mie nishakula.