MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,316
- 25,443
Sina cha kupoteza tena dada ,nishapitia mengi kiasi kujifichaficha siwezi tena maana nahisi nisimulie moyo wangu uwe huru .Ila MENEMENE TEKERI NA PERESI huwa unanifurahisha sana. Story zako huwa naziamini hivyo nakuonaga u miwazi na mkweli 😅😅😅😅😅 pole yaani tuko wengi na hatujifunzi, zikija tena tunasahau tunabaki na majuto. Namshukuru Mungu ni mzima na mambo yanaenda 🙏
Tupambane japo ugonjwa huo bado sijapona nikiziotea lazima mtaa na kijiji chote wajue maana nikilewa lazima nikawasalimie hata waliofiwa miaka miwili nyuma 🤔
Tupambane yote kheri ,karibu dada.