Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Basi lewa uje nikuone.
Shindii mimi ni mtu wa kuona maiti kila siku 😭 leo kijana mdogo , ni binti wa rika la binti yangu amenitoka mikononi mwangu najisikia vibaya mno , nafikiri kwa ufupi unaelewa jinsi napenda watu waishi hata kwa niaba yangu nipo tayari 😥😥
 
Loooh! Pole sana shindii🙆‍♂️
 
1751039700247.jpg
 
Back
Top Bottom