min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,533
- 128,121
Tupia mkuuNgoja nimalize mapepa nije kukichafua humu maana nina rundo la mapicha picha kama yote
Tupia mkuuNgoja nimalize mapepa nije kukichafua humu maana nina rundo la mapicha picha kama yote
Nzuri kamamaa, yeah tunapishana tu hapa ndani love.Ooh I miss you too mdogo wangu. Za muda mrefu. Tunapishana humu sana. 🥰🥰🥰
Ooooh now ni manyuzi ya israel na iran tu kukuona sio rahisi najua😊Nilikuepo lakin si sana
Lini umeselfika Poor Brain hata mkono wako, sijawahi uona. Haya maliza paper, uje uingie live 😬😬😬Ngoja nimalize mapepa nije kukichafua humu maana nina rundo la mapicha picha kama yote
Yeah huko siwez kuwa kabisa😁😁Ooooh now ni manyuzi ya israel na Palestine tu kukuona sio rahisi najua😊
Madam nakusubiri ujeLini umeselfika Poor Brain hata mkono wako, sijawahi uona. Haya maliza paper, uje uingie live 😬😬😬
Huko kwa mdada mzuri kama wewe labda uwe unavuta bangi na visungura 😆Yeah huko siwez kuwa kabisa😁😁
Soon mkuu ngoja nimalizane na mapepaTupia mkuu
😂😂😂😂😂😂 Niliwahi selfika kuna sister angu flan hv akawa ananiponda an mpaka leo ni kuniponda tuu daaah watu wana roho mbaya humuLini umeselfika Poor Brain hata mkono wako, sijawahi uona. Haya maliza paper, uje uingie live 😬😬😬
Kwahiyo mimi nayechangia kule, navuta bangi na kunywa visungura eeh? Nakununia 🙄🙄🙄Huko kwa mdada mzuri kama wewe labda uwe unavuta bangi na visungura 😆
😂😂😂Ndio hizo mnaweza nyie tu mim hapana labda nisome tu😁😁😁Huko kwa mdada mzuri kama wewe labda uwe unavuta bangi na visungura 😆
Sijawahi kukuona madam mzuri , utakua unanidanganya kwa sababu hizo nyuzi nazipitia kwa umakini 😅Kwahiyo mimi nayechangia kule, navuta bangi na kunywa visungura eeh? Nakununia 🙄🙄🙄
Soma tu usije kuzeeka bure😂😂😂Ndio hizo mnaweza nyie tu mim hapana labda nisome tu😁😁😁
Nipo sana, habari za kimataifa nazipenda maana nazifatilia sana. Lazima kujua hayo mavita yao yana impact kwenye kushuka na kupanda kwa $, mafuta.Sijawahi kukuona madam mzuri , utakua unanidanganya kwa sababu hizo nyuzi nazipitia kwa umakini 😅
Mtaje jina 😃Wewe madamu unataka utugeuke hapa .
Huu ulifungwa pia kwa sababu watu walikua wanachambana live live alafu kuna mod alikua anatumia id nyingine hv akiona anaelemewa anaenda kufungia uzi...
Huyo mod hata mi niliwahi gombana nae akanipa ban... 😂😂😂🙌🙌🙌
Kijana hana adabu huyoKwahiyo mimi nayechangia kule, navuta bangi na kunywa visungura eeh? Nakununia 🙄🙄🙄
Mbona mimi mtulivu sana😆Kijana hana adabu huyo
Sio kweli😃Mbona mimi mtulivu sana😆
Kwa nini masterSio kweli😃
Baadae mkuu Kuna kazi nafanya hapa kwenye pcKwa nini master