RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,687
- 136,325
Ha ha ha ile picha niliona umepiga huo upande wa jukwaa, nilipoingia tu nikatupa macho upande huo bila bila 🤣🤣🤣Sio mimi, lakini siku nyingine umtume kijana basi nisije nikakosa kutuzwa! 😔
Alafu ukija tena mshtue yule mama wa mishkaki karibu na stage, aniite 🙂