Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,194
- 33,564
Kwanza kabisa kwenye watu wengi lazima watu wawe tofauti, hii ni nature. Japo inawezekana kutokua hivyo kila mara ni uamuzi
Pili kuhusu mtu kupigwa majungu mi nadhani hizi ni hisia ambazo mtu anaamua kuwa nazo. Unaweza kuassume sio wewe na mambo yakaenda tu, sababu pengine hao wanapiga story zao ambazo hazimhusu yoyote humu. Walisema "shangazi" hivi au vile how sure wanakua wanamaanisha yule unamfikiria?
Kuhusu kuselfika, labda umeingia hivi karibuni. Humu wengi zamani akiwemo huyo lamomy walishaselfika sana sana japo haizuii kuendelea kuselfika au kuweka picha zozote.
Btw ushauri wako mzuri pia