Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,986
- 48,480
Huyo niachie mm asikuchoshe my wiiWifi mumeo anarudi halafu alivyo msumbufu anataka tumuandalie chakula cha kibongo, km vipi uje umpikie mwenyewe mi kuchoshana sitaki 😹😹😹
Nimemwambia akishuka airport moja kwa moja shishi food 🤣
Nitampikia mwaya Hadi atoe ela alizorudi nazo 😀 😀