Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Screenshot_2024-10-15-14-11-19-36_965bbf4d18d205f782c6b8409c5773a4.jpg
Screenshot_2024-10-17-19-01-23-04_965bbf4d18d205f782c6b8409c5773a4.jpg
 
Hapa ndio zamani palikuwa panaitwq samak samaki? Kuna maua mazuri saana apo
Sehemu mbili tofauti. Samaki ni Nyumbani Park, hapo ni Star Park. Ukitoka round about ya Msamvu kuelekea Dom kona ya kwanza kushoto ndio ipo hio star Park. Pana fujo sana watoto wengi.
 
Back
Top Bottom