KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,510
- 88,972
don't say there's no need, there's need to drink it all coz there's sweet and sweetest fishes in it...😁Good morning 😉View attachment 3127430
don't say there's no need, there's need to drink it all coz there's sweet and sweetest fishes in it...😁Good morning 😉View attachment 3127430
Kuna binti mmoja nilimwona Jana akiimba ule wimbo wa "Love doesn't ask why" wa kwake Bibie Celin Dion usikute ulikuwa ni wewe Mjukuu☕️ ya kuchangamsha kichwa after midnight!😵😵
Alafu nilikuwa nimejaa tele kwenye Karaoke 🎤
Kabla ya hapo nilikua nazunguka zunguka kila mahali...mara jiko la juu, mara la chini, mara counter...ili mradi tu we na RRONDO mnione ila wapi!🤦🏾♀️
Good morning Mjukuu 🤗Good morning 😉View attachment 3127430
Connection ina wenyewe cc, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakikisha humalizi intern bila connection
Kuna jamaa anapendwaaa had baas, [emoji91][emoji91][emoji91]🩵[emoji97]
Stori na picha
Karibuni sana kuweka oda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Afu Mod's sijapenda tabia zenu.
Wambea tulikuwa bado hatujamaliza page....Shubaaamitttt!!!!
Mwenyejii naomba biskutiii.#SelfimInducedInsomnia View attachment 3127262
✅✅✅Good morning 😉View attachment 3127430
Hamna lolote
Mhhhhhh
Tuna jambo letu jumamosiMhhhhhh
kama kawa faza
Sio mimi, lakini siku nyingine umtume kijana basi nisije nikakosa kutuzwa! 😔Kuna binti mmoja nilimwona Jana akiimba ule wimbo wa "Love doesn't ask why" wa kwake Bibie Celin Dion usikute ulikuwa ni wewe Mjukuu
Wakati nasogea Kwa mwendo wa Kizee ili nikamtuze akawa ameshashuka stejini
Nikaamini kweli Wazee hatuna bahati 🙌
Fresh Karibu kigamboni kakakama kawa faza
😫😫😫[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
madam natamani uweke picha hapa nikuone.