Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,261
- 49,198
Ndio hapa wanaangaliaga na mpira watu huwa wengi au nimekoseaSehemu mbili tofauti. Samaki ni Nyumbani Park, hapo ni Star Park. Ukitoka round about ya Msamvu kuelekea Dom kona ya kwanza kushoto ndio ipo hio star Park. Pana fujo sana watoto wengi.