Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG_20241016_205004_316.jpg

Siku moja moja sio vibaya kujumuika na Vijana kukumbukia enzi za Mwaka 47 šŸ¤—
 
View attachment 3126970

Siku moja moja sio vibaya kujumuika na Vijana kukumbukia enzi za Mwaka 47 šŸ¤—
Niliingia hapo kumtafuta Dr Lizzy lakini nilitoka baada ya dakika 5 maanake kila nikiangalia kushoto kulia naona biinti zangu tu huku wananishangaa huyu babu kapotea njia 🤣🤣🤣🤣
 
Hongera Mkuu, you have been blessed with a very nice daughter

Wanasema mtoto wa kike ni rafiki wa BabašŸ‘Š

Siku nikifanikiwa kupata mtoto wa kike kwenye Uzao wangu, lazima ninunue Mbwa mkali kwaajili ya kuimarisha Ulinzi nyumbani

Sitaki akina Kapachino na wenzake akina Half american hata wamsogelee šŸ¤—
Daughters are the best [IMO].

Nevertheless, all kids are special.
 
Niliingia hapo kumtafuta Dr Lizzy lakini nilitoka baada ya dakika 5 maanake kila nikiangalia kushoto kulia naona biinti zangu tu huku wananishangaa huyu babu kapotea njia 🤣🤣🤣🤣
Mimi pia nilidhani ningemuona hiyo Jana, maana kulikuwa na Karaoke

Pamoja na kuvaa miwani ya macho, lakini hata sikubahatika kumuona šŸ™Œ
 
Hii breakfast mbona hatushibi Mjukuu šŸ¤—
ā˜•ļø ya kuchangamsha kichwa after midnight!😵😵

Alafu nilikuwa nimejaa tele kwenye Karaoke šŸŽ¤

Kabla ya hapo nilikua nazunguka zunguka kila mahali...mara jiko la juu, mara la chini, mara counter...ili mradi tu we na RRONDO mnione ila wapi!šŸ¤¦šŸ¾ā€ā™€ļø
 
Back
Top Bottom