Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Mungu akubariki dadaSawa mrembo wangu Saint Anne
Haya sasa
Tusafishe macho na kapicha
J2 iende vizuri
Tajiri wa roho
Dada mwenye shape yake
Uzi uteteme🔥🔥
Mungu akubariki dadaSawa mrembo wangu Saint Anne
Jidanganye 😹🤣🤣Majini yatagonga mwamba
Yatakutana na Yesu
Halafu Babu anataka kutugombanisha ujue SI tumetoka mbali usimsikilize🤣
Wanajidai hawazitaki vocha kumbe wanazitakaKabisaaaa yaaan,
Tunawajuaaa. Uwiiiiiih
Kwa Sisi tusiopenda nyama nyama na mafuta mafuta Yakina naniliu...wekaa kwani vocha mzee wa hall V, nakuwekeaa hapa Full.
Yaan ntakataa kiu ya watu wote leo.![]()
Huyu ndiye tajiri sasaWoyoooooooooooo!!
Wapiiiii tajiriiiii wetuuu,![]()
Babu si ulisema mlikuwa wote rotana 😜Nina muda mrefu sijamuona huyo Mjukuu, bora umkumbushe apite kunisalimia Babu yake 🤗
Waungwana waniunge kwenye convo 😂😂🙌🏿🙌🏿🙌🏿😂😂😂😂😂😂
Ila Nkamu
Wasinisahau na mimi NkamuWaungwana waniunge kwenye convo 😂😂
Sijui kituKweli kabisaa, nikiwa na cm siwagi na utulivu kabisaa.
Ubuyu wa Figo, wee huujui kweliii?![]()
🤣🤣🤣Babu si ulisema mlikuwa wote rotana 😜
Bana mwambie anipitishie hizo cashew nuts ujue sijawahi kula za kwenye ndege 😹😹
Thubutuuu 🤣🤣🤣Jidanganye 😹
Babu kasema kakupa acha ubabaifu km shangazi 🤣
Unauza lini huo mzigo 😍Itabidi nikitoa mzigo shamba uje unichukulie simu nzuri nianze selfika! Hii imekufa ndiomana si selfiki
Wanajidai hawazitaki vocha kumbe wanazitaka
Tusije wasaidia kuomba halafu wenyewe tukakosa.
Tunaotaka vocha ni mimi,wewe na Lamomy.
Wengine wote waliobaki matajiri.



kwa kweliiii.Umeanzaaa fix, mxxxiiiiiieeeew.Kwa Sisi tusiopenda nyama nyama na mafuta mafuta Yakina naniliu...
Nyingi wembamba viportable mnatubless saaan





😂😂😂 Nkamu wewe wakuadd kwenye convo ya shangazi na seleWasinisahau na mimi Nkamu
Tajiriiiii tunae na tunatambaaa naee.Huyu ndiye tajiri sasa
Hadi akafungua Uzi wa vocha
Tajiri hana hela za mawazo...
Mungu kampa roho ya utoaji
Vocha zinamwagika kama mvua
Mitano tena kwake Le bosss leideee Bantu![]()






