Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,020
- 82,532
Yangu hiyo nasubiria yako bosi πWee mbona kiatu kimoja kimebonyea ππ
Haya pic ya nani leo umetuwekea kaka bonge πΉ
Njoo unipee PmHaya nimefuta siusha chukua babe
π π π π π π π π π π π π π π π π kuna kitu kimenifurahisha, tutumie tbt hata hizo zinaruhusiwaNimewaambia nna mimba ππ
Subirini nijifungue
Huyo hana kitu chochote kuhusu Mimi.Ini kasema anatuma na video eti ππ
Ila nyinyi watu, mbavu zangu jamani. π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ mna nini lakini? Sijui maneno yanatoka wapi? Halafu wachochezi hao πππππ π π π hatuselfiki leo ππππ
Futa kauli ya uking'anga bana.Wewe na mashetani yako tu mmeamua kuwa vingβangβa π€£π€£
Tumempambania sana Shangazi huyoπ€£π€£π€£ Nkamu shangazi hana jeuri hiyo si ndio washika pochi yake..!
Umesahau tumemsaidia kumfukuzia waasi
Muone π₯°π₯°π₯°nimeselfika. Haya mselfike nanyinyi sasa. Acheni kuwasha moto wa petrol, nitawachapaUsituangushe tajiri
Lipu jamaniπ₯π₯π₯
Hee!Muone π₯°π₯°π₯°nimeselfika. Haya mselfike nanyinyi sasa. Acheni kuwasha moto wa petrol, nitawachapa
ππHuyo hana kitu chochote kuhusu Mimi.
Na Mimi ndo mtu wa kwanza kumsanua kina sumbai wasiendelee pigwa
Kipindi icho sikujui mtoto Mimi sio wa kuingizwa chaka si umeona nakuganda kama ruba.
Karibu sana mama mchungaji, mambo ya pizzaπJmn mbona hivi unanitamanisha
Pm siumefunga babe au Nitumie ujumbeNjoo unipee Pm
πππππππππWee hiko kidude kitamu bana, sema hiko ukigida kina pic ya chui ila ukilewa unaanza kutembea km fisi πππ
Hapo ndipo walipoharibu πΉ