Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 3,505
- 8,713
Hahaha🤣🤣🤣 chino nimekuona washa data nikutumie mzigo wako 😹
Wanakuibia Hao mchuchu.
Wewe ndo utakua wa kwanza na mwisho
Hahaha🤣🤣🤣 chino nimekuona washa data nikutumie mzigo wako 😹
Kilikupata nini? Uko vizuri inaonekana unapenda kupunga upepo?
Mungu fundii shekhe 😎😎Sio poa 🔥
Usitufanyie hivyo wengine tuone hata kidevu tu roho zetu zitulieHahaha
Wanakuibia Hao mchuchu.
Wewe ndo utakua wa kwanza na mwisho
Ndo maana kafunga pm, kwa anavyoselfika loh balaa tupu,
Gunship gwa maana sana
We unakula maisha sana, rabsha rabsha ya kufunga pm!! Sijakupata vizuri badoNi maamuzi tu ambayo kimsingi siyajutii. Lakini ni baada ya kupata rabsha rabsha za hapa na pale.
Napenda kuwa peke yangu muda mwingi hasa kwenye maeneo tulivu, ufukweni au porini kwenye vichaka.
View attachment 3107527
Sijui hata alikuwa ana waza nn kwa mambo haya anayofanya 😆Mungu fundii shekhe 😎😎
Haina noma endelea kutupandisha mori,Hapana, nautendea haki Uzi. Maneno machache, picha nyingi. PM ni story ndefu kidogo
View attachment 3107529
Ndo ufanye mapema 😂😂Itabidi nikunyweshe maana utasahau, 😅😅
Usijali mkuu! Ntafanya ivo kwa ajili Ako kaisikiUsitufanyie hivyo wengine tuone hata kidevu tu roho zetu zitulie
Hivi una ushombe shombe flaniHaina noma endelea kutupandisha mori,
Wakola waituUsijali mkuu! Ntafanya ivo kwa ajili Ako kaisiki
Kwa mbaali wa kuchovya hapa na pale, si unajua tena ukikaa karibu na uaridiHivi una ushombe shombe flani
🤣😁😍😍😍
Mambo hayo nkamu uje uone bl kabutua shuti huku, shangazi ataweza kweli?!!
Tayari 2-2 namna gani hapaaaaaa 😂😂
Yani wewe ni maneno tu unatype picha akaaa😍😍😍
Mambo hayo nkamu uje uone bl kabutua shuti huku, shangazi ataweza kweli?!!
Tayari 2-2 namna gani hapaaaaaa 😂😂
Gate la mbinguni, utahadithiwa tu Odo haki tena. 😅😅😅😅😅😍😍😍
Mambo hayo nkamu uje uone bl kabutua shuti huku, shangazi ataweza kweli?!!
Tayari 2-2 namna gani hapaaaaaa 😂😂
😂😂😂 Unazo ngapi nikupe mtu wa kumuuzia kwa rate nzuri.Nakoendaga hawawezi nifanyia hiyo roho nzuri najua watanigongelea hapo kwenye 2740 mbuzi wale ningesave hata laki kasoro