Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimewaambia nna mimba ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Subirini nijifungue
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…kuna kitu kimenifurahisha, tutumie tbt hata hizo zinaruhusiwa
 
Usituangushe tajiri
Lipu jamani๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
Ila nyinyi watu, mbavu zangu jamani. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ mna nini lakini? Sijui maneno yanatoka wapi? Halafu wachochezi hao ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… hatuselfiki leo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Muone ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐnimeselfika. Haya mselfike nanyinyi sasa. Acheni kuwasha moto wa petrol, nitawachapa
Hee!
Saa ngapi jamani umeselfika
Shepu inipite?
Hapana kwa kweli.

BL usijali
Sisi wenyewe ndio petrol
Usijali kuhusu moto,mambo ya kawaida hayo.
 
WIN_20240907_12_50_21_Pro.jpg

Wameungua lol ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜
 
Wee hiko kidude kitamu bana, sema hiko ukigida kina pic ya chui ila ukilewa unaanza kutembea km fisi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Hapo ndipo walipoharibu ๐Ÿ˜น
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom