Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,429
- 94,862
Wale wanaokimbia id wengi wanakutana wanafanya mchezo mbaya kweli 😂😂😂Sure
Kitaa uwe mnyonge mpaka jf
Haipo hio.
Although kuna watu wanazikimbia kabisa I'd, kuna mda mnapelekeana sana moto to the extent mtu anashindwa vumulia.
Kuna id ilitongozwa mara mbili hakujua huyo manzi wake ana id mbili 😹😹
Kule anamwambia manzi Sina pesa, halafu kwenye id nyingine anamspoil kwa miamala 🤣🤣🤣