Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,842
- 57,487
Umesema sahihi Mzee mwenzangu, binafsi nina tukio Moja la Mwaka 47, isingekuwa kutembea na dawa zangu za Presha hao watoto wa 2000 mbona wangeshaniua zamani 🙌
Umesema sahihi Mzee mwenzangu, binafsi nina tukio Moja la Mwaka 47, isingekuwa kutembea na dawa zangu za Presha hao watoto wa 2000 mbona wangeshaniua zamani 🙌
Bora nibaki na Mashangazi kidogo Wana huruma.Ni waelewa sana, hawana makuu wala sio wasumbufu. Maisha hayahitaji drama, sema mzee mwenzangu Grahams hataki hata kuwasikia😀
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️😂😂😂 Imbombo jilipo Nkamu
Anavyopenda kampani yule weh asitudanganye hapa.!
Halafu odo Bl alikuwa shost yake naye waliishia wapi? 🤣🤣
Ila JF raha sana, humu tyuu.!
Haipoi wala haiboi
😂😂😂 Shangazi lazima kombe liwe lake km alivyonyakua kwa “WAASI” wamepoteana ss hivi nao waje na comeback yani wamekubali kabisaa kushindwa 😹😹😹Akitupia hizo halafu akajibinua kidogo
Mapema sana kombe ni lake
Sijui Yuko wapi jamani Shangazi alete mambo
Camera ya ukungu hajale wala nini
Odo sema kitu bana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️
Siku ikihitajika kusema nitasema. Kwasasa acha niendelee, kula raha na pumzi ya bure ya Muumba wetu🙏
Huyo mama wa binti naye mwitu mduu 😂😂😂uyo dada nae taka kuozeshwa mama yake alikuja nyumban so akasema tuunganishe undugu kwasababu ninyi ni wakalimu sana hasa mwanao wa kiume kampokea mwanagu vizuri sana uyo mtoto wake alikuja arusha so nikiwa mweneyji wake akaa miezi 4 so sijui qliongea nn na mama yake ila ndio kuambiwa mama yake anataka nimuoe bintie mama kakubali so wanasubiria jibu langu
Babu usile hizo korosho niletee thawadi mjukuu wako, nikule korosho za kwenye ndege 😹😹😹
Hamna hata kitu Odo, niliondoka selfika na JF kwa muda basi. Hata hatujawahi gombana. Niliamua kupumzika. So nikarudi nikaanza upya.Odo sema kitu bana 😂
Tajirii unaniangusha ujue, kwan ilikuwaje?!
Mana ilikuwa ghafla Sana’a
Yani ilikuwaje? Weka hata intro huko mbele tutajazia wenyewe 😹😹
Uongo 😂😂😂Hamna hata kitu Odo, niliondoka selfika na JF kwa muda basi. Hata hatujawahi gombana. Niliamua kupumzika. So nikarudi nikaanza upya.
Mimi niogope? Ulishaona Mkurya muoga? Ukweli ni huo, nikibadili nitakuwa naongea uongo na sipendi uongo.Uongo 😂😂😂
Nkamu Saint Anne njoo uwe bodyguard wa odo anaogopa.!
Mmmhh.!! Odo em kwanza subiri, kuna uzi niliona unalalamika umepondwa ww mbaya 😹😹😹Mimi niogope? Ulishaona Mkurya muoga? Ukweli ni huo, nikibadili nitakuwa naongea uongo na sipendi uongo.
Uliona sehemu tumegombana Odo? Hakuna na niliporudi alinisalimu, nikajibu vizuri basi. Life goes On Odo. Nyinyi ndiyo mlinyonyoana manyoya. Mpaka ugombane namimi, uvuke Red line.
No hukuelewa. Ulitakiwa uwe na D mbili pale uelewe. Kuna watu wanasave picha zote wanazo. Hutoelewa leo, sijapondwa Odo. Najua unachotaka kukisikia ila hakijafika huko. Ni picha nilisema wamasave. Dahila Odo 🙌🙌🙌🙌🙌🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂🤣 baadaye naingia Alaf hapa ngoja nikanunje zangu bati mweeh. Ila Odo siuwezi hakiMmmhh.!! Odo em kwanza subiri, kuna uzi niliona unalalamika umepondwa ww mbaya 😹😹😹
Na picha zako unazotuma wamekunanga pm kama sijakosea, ila km niliona vibaya fureshiii.!!
Uzuri JF haitunzi Siri huwa inachelewesha kuzitoa. Tuwape muda utaongea 🤣🤣
Mjukuu unataka kula Korosho, Mkwe wangu ana taarifa lakini😜Babu usile hizo korosho niletee thawadi mjukuu wako, nikule korosho za kwenye ndege 😹😹😹
😂😂😂 Weeh siku ile nilikuuliza mwenyewe wamekusema nini? Ukasema we acha tu 😹No hukuelewa. Ulitakiwa uwe na D mbili pale uelewe. Kuna watu wanasave picha zote wanazo. Hutoelewa leo, sijapondwa Odo. Najua unachotaka kukisikia ila hakijafika huko. Ni picha nilisema wamasave. Dahila Odo 🙌🙌🙌🙌🙌🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂🤣 baadaye naingia Alaf hapa ngoja nikanunje zangu bati mweeh. Ila Odo siuwezi haki
Mkwe atoke wapi babu??Mjukuu unataka kula Korosho, Mkwe wangu ana taarifa lakini😜
Bila kula hizi Korosho Babu yenu baridi litaniua ujue🤗
Wazee hatuna shida hata tukila nusu kilo ya Korosho, si unajua miili yetu imepoa 🤗Mkwe atoke wapi babu??
Wewe unatafuta sababu za kuninyoma korosho hizo 😹😹
Bibi ana taarifa km unakula korosho..! 🤣
😂😂😂 babu Ntakuchapa ujueWazee hatuna shida hata tukila nusu kilo ya Korosho, si unajua miili yetu imepoa 🤗
Ngoja nikuletee za kurosti kilo 1, baada ya hapo utatafuta namba ya dear x mmalize tofauti zenu 😜🏃🏃🏃