Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nikiweka picha mashoga mabonge nyanya yote yatakuja kujinunisha km wametiwa jiti la nonino ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Ila tulia ntakushtua usikae mbalii
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Shangingi kajipata halafu alianza km utani, alikuwa na kigoli chake ghafla kachukua chumba kikubwa, mara anasema nafatilia visa, ohhh kashusha mzigo wa gauni.
Hatujatulia kanunua nyumba mbagala, mara kaanza ujenzi mwanagati.

Nilivyo mpana kila nikimuhoji ananizuga, mwisho akanitolea uvivu โ€œwe mkinga usijifanye hujui km tunaforce mamboโ€ mie enheee! Akaniambia habari ndio hiyo mjini hatuji na majembe tutalima lami?? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Ndio kuniambia kashapigwa tunguli za utosi za kutosha na chale mpk mwili umekuwa km kibao cha kashata, hayo makombe kashaoga na kunywa mpk umeingia kwenye mfumo wa damu.!

Yeye kumpata yule bwana wala sio bahati mbaya โ€œKAPAMBANAโ€ mji mzito ๐Ÿ‘Œ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Haya nawe makubwa yapi yalitaka kukuta udugu wangu? Mbona kuniweka roho juu??
Eti kibao Cha kashata๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Sii michundoo ya JF, Inanichokoza enyewee, nikii saula inakimbilia kujiliza kwa modes, aaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mijitu muda wote ni kulia
Halafu unakuta ni ya kiume
Akiyanani nikiona kitu la kiume linapapatika na kulia Kwa mod naliona kama limama zembe
 
Kuna mijitu muda wote ni kulia
Halafu unakuta ni ya kiume
Akiyanani nikiona kitu la kiume linapapatika na kulia Kwa mod naliona kama limama zembe
Wamejaaa teleee JF, haiwezagi battle, ikionaa inaelemewa inakimbilia kwa modes kujiliza liza.
Wanaboa na kukeraa mnooo, mxxxxiiiiieeew zao.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie siku hizi nimejiupgrade
Mabwwge wote siwajibu
Sitoi kiki Kwa wanaotafuta umaarufu Kwa kubishana na mimi

Kuna watu anajiona ili apae basi atafute katopic ka kubishana na watu popular.
 
Kuna mijitu muda wote ni kulia
Halafu unakuta ni ya kiume
Akiyanani nikiona kitu la kiume linapapatika na kulia Kwa mod naliona kama limama zembe
Ss hivi unapiga nayo hip hop ngumu mpk waache shobo robo
 
Dr Lizzy kuna crisp hapa ya buku imebaki nusu ๐Ÿ˜„
20240824_183106.jpg
 
Back
Top Bottom