Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787] Dada yule amekuja kwa Kasi sana..kwa siku anaanzisha nyuzi 3[emoji23][emoji23][emoji174]
Stress za kukunjwa 7 na kuachwaaa mchezoo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mabasha wa JF wawe wanawahurumia hawa watoto wa wanaume wenzaoo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Lipi hilo?
Umaarufu hautafutwi kwa nguvu unakuja automatically pimbi huyo hajui?!!

Sema JF raha sana, tukiamka na mood zetu za vingunguti wajishikilie watapata pureshaaa[emoji81][emoji81]
Wee yulee wa kujifanya kumchukua bwana angu umesahau?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Aaaah wee.
 
🀣🀣🀣 mabwaku bado mke mwenzio kakukalia kooni??
Kwani bwana si umemuachia au naye kaachwa?!!

Shemeji awapangie zamu msigombane bi mkubwa na bi mdogo 😹😹😹
Halafu wote wadogo zangu sasa.!!
 
Stress za kukunjwa 7 na kuachwaaa mchezoo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mabasha wa JF wawe wanawahurumia hawa watoto wa wanaume wenzaoo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwani naye kaachika??
Penzi lilivyonoga walikimbia wote jukwaani na bwana shemeji 😹😹😹

Ko limekufa wamerudisha majeshi??
Em waje waselfike kwanza
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mabwaku bado mke mwenzio kakukalia kooni??
Kwani bwana si umemuachia au naye kaachwa?!!

Shemeji awapangie zamu msigombane bi mkubwa na bi mdogo [emoji81][emoji81][emoji81]
Halafu wote wadogo zangu sasa.!!
Anatakaaa nayeyee apewee promooo, km mie nilivyokua natambaa naee winjaaa winjaaaa.

Sasa mume hatakiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Uduguuu acha fujooo, nshamuachiaaa bi mdogoo, uwanja ni wake, afu sijui anakwamaa wapii kumuhandlee bwanaaa Lol.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kwani naye kaachika??
Penzi lilivyonoga walikimbia wote jukwaani na bwana shemeji [emoji81][emoji81][emoji81]

Ko limekufa wamerudisha majeshi??
Em waje waselfike kwanza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan nachekaa mbavu zinaumaa, miee
Aaaah JF ina hekaa hekaa hiii, basi mie rohoo kwatuuuu.
 
Anatakaaa nayeyee apewee promooo, km mie nilivyokua natambaa naee winjaaa winjaaaa.

Sasa mume hatakiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Uduguuu acha fujooo, nshamuachiaaa bi mdogoo, uwanja ni wake, afu sijui anakwamaa wapii kumuhandlee bwanaaa Lol.
🀣🀣🀣 weeeeh nambie β€œKOMA”
Ko bi anko naye anataka kubebishwa hadharani? Ahiyiiii nyie mi staki!! 😹😹

Mume kagoma kutoa kiki!! Awwwwh hii kiboko
Sasa kila mtu na nyota yake jamani..
Basi bwana shemeji ampe kiki hata kidogo naye avimbe.!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nawe ko umekubali kumuachia?? Usimuache Le big BOSS bana, kaba had kieleweke.!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] weeeeh nambie β€œKOMA”
Ko bi anko naye anataka kubebishwa hadharani? Ahiyiiii nyie mi staki!! [emoji81][emoji81]

Mume kagoma kutoa kiki!! Awwwwh hii kiboko
Sasa kila mtu na nyota yake jamani..
Basi bwana shemeji ampe kiki hata kidogo naye avimbe.!! [emoji23][emoji23][emoji23]

Nawe ko umekubali kumuachia?? Usimuache Le big BOSS bana, kaba had kieleweke.!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuuuu Una nn lakiniii weyeeee??
Wameachanaaaaa!! Habariiii hunaaa, mdogoo ako kavurugwaa hukoo.

1 haikai, 2 haisimamiiii.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan nachekaa mbavu zinaumaa, miee
Aaaah JF ina hekaa hekaa hiii, basi mie rohoo kwatuuuu.
Eheeeeyahhh πŸ‘ŒπŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸ˜Ή
Mapenzi ya jf, ila nna liubuyu linanitesa.!
Kuna penzi lingine nalo lina crack’s km zote.. unaambiwa bwana kuna sehemu anajichekesha na kutoa miamala km yote Ila bidada hajuii
Weeeh uduguuuuu utaniponza niropoke πŸ˜ΉπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuuuu Una nn lakiniii weyeeee??
Wameachanaaaaa!! Habariiii hunaaa, mdogoo ako kavurugwaa hukoo.

1 haikai, 2 haisimamiiii.
Whattttthhhh?!!!!!
Warereeeeeee.!! Unaambiwa ukitaka kujua umuhimu wa matraco kalia kichwa uone.!!

Na toka lini sikio likazidi kichwa??
Kwahiyo baba Jane bye bye πŸ‘‹πŸ€£πŸ€£πŸ€£

Jamani dj Nyamwi em nipigie kibao cha mapacha watatu β€œKUACHWA” πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndiomana hana raha machikiniii katoto lee

Sasa Shem anataka kurudi nyumba kubwa au? 😜
Mana uduguu ukute ushapindua meza kibabe
 
Sema kingineeee
Pateni wadhamini kidogoooo

View: https://youtu.be/45RcMjUciIw?si=ouKs1WQBI1DMXCYi
 
Eheeeeyahhh πŸ‘ŒπŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸ˜Ή
Mapenzi ya jf, ila nna liubuyu linanitesa.!
Kuna penzi lingine nalo lina crack’s km zote.. unaambiwa bwana kuna sehemu anajichekesha na kutoa miamala km yote Ila bidada hajuii
Weeeh uduguuuuu utaniponza niropoke πŸ˜ΉπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
Uduguuu nisogezeee huo ubuyuuuu hata kulee bhanaaa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ JF ni kupokeazanaa tyuuh
 
Back
Top Bottom