Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,429
- 94,854
Shangingi kajipata bwana bwana kweli, kachinja mbuzi kwa mkono wake makaburini ili ajiweke mana upinzani ulikuwa mkali..!!Eeeeh ikawajeee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nipe ubuyuuu uduguuuu
Huyo bwana pesa za kumwaga, bibie kajengewa ghorofa mwanagati.. ila ndoa kaisotea.! Za chini ya carpet mama yake mchawi ndio kayafanya yote hayo.!!
Bibie mdigo wa duga huko 🤣🤣🤣