cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,106
- 181,182
Dada boraa wee Una moyo wa kuhimilii ngengaa za wajaa, mie siweziii.Mie siku hizi nimejiupgrade
Mabwwge wote siwajibu
Sitoi kiki Kwa wanaotafuta umaarufu Kwa kubishana na mimi
Kuna watu anajiona ili apae basi atafute katopic ka kubishana na watu popular.
Kiki nawapaa, umaarufu hawapatiiii.




