Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 41,818
- 100,709
Dah!! Acha nilie kwa niaba yake na wengine wote walioachwa halafu bank account haisomi, ukiuliza salio unakutana na single digit, 10.00
walikuwa wanasurvive kwa nguvu y’a masponsa.!! 😭😭😭😭😹😹😹
Ila mi ntapigwa mjue 🤣🤣🤣