Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,882
- 82,093
Tajiri wewe tununulie keki za afu 7 7 kariakooTununulie cake! enzo-Aug ephen-Sept
Tajiri wewe tununulie keki za afu 7 7 kariakooTununulie cake! enzo-Aug ephen-Sept
Subiri niongee na tajiri wangu min me bhanaTajiri wewe tununulie keki za afu 7 7 kariakoo
Picha ya Mwaka 47 hiyo Mkuu 🤗😜Babu kijana😄
😁😂😁😁Picha ya Mwaka 47 hiyo Mkuu 🤗😜
Sana🥰Una keki nzuri sana 😋
Naomba upokee salam za jumapili.Kwann usinisalimie mwenyewe na nipo hapa.!
Hiyo chupa apo ni chupa halisi au inaliwa tu kama keki na yenyewe pia?Sana🥰
Yaani ni tamu sana
Hadi za kwetu walevi zipo
Raha ya keki ushushie na kabia
Karibu sana
Nyumbani kwa tajiri kutoka kusini mwa jangwa la SaharaHapo wapi?🤔
Kwani wewe ni Shamba boy?Nyumbani kwa tajiri kutoka kusini mwa jangwa la Sahara
Hapana mie nimeambiwa ni masikini Leo😂😁😁Kwani wewe ni Shamba boy?
Hilo jumba ni lako?Hapana mie nimeambiwa ni masikini Leo😂😁😁
NdioHilo jumba ni lako?
Bia hiyo😂Hiyo chupa apo ni chupa halisi au inaliwa tu kama keki na yenyewe pia?
☺️😍HongeraNdio
Nzuri sana ila keki na bia mhmmmmBia hiyo😂
☺️Nikikaa kwenye nyumba kama hiyo hata njaa sitosikiaView attachment 3061174
Asante Sana rafiki yangu mpendwa
Mmh hamna njaa ipo pale pale tu hadi mda huu mie sijala 😂😁😁☺️Nikikaa kwenye nyumba kama hiyo hata njaa sitosikia
Wewe siumeizoeaMmh hamna njaa ipo pale pale tu hadi mda huu mie sijala 😂😁😁