Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Oda ya mtu hiyoNzuri sana ila keki na bia mhmmmm
Wenzio wanakunywa bia kama chai😂😂😂
Ukiona unashangaa ujue wewe siyo mlevi
Oda ya mtu hiyoNzuri sana ila keki na bia mhmmmm
😁😁😁 mimi mnywaji tuOda ya mtu hiyo
Wenzio wanakunywa bia kama chai😂😂😂
Ukiona unashangaa ujue wewe siyo mlevi
Kuna mjane kaja kutetea dollar
Kivuli Cc ephen_ View attachment 3061161
Pesa Hazina makelele na hazikai kwenye makelele. Collective of Poor imbecile.. ShalomView attachment 3061174
Asante Sana rafiki yangu mpendwa
Naunga mkono hoja comrade Kuna watu walikuwa wanapiga kelele na pesa nyeupeee🤣😁😁😁😁Pesa Hazina makelele na hazikai kwenye makelele. Collective of Poor imbecile.. Shalom
Hata wewe uache kelele pesa hazitaki kelele. 😂😂Naunga mkono hoja comrade Kuna watu walikuwa wanapiga kelele na pesa nyeupeee🤣😁😁😁😁
Aige mfano wa min me😂Hata wewe uache kelele pesa hazitaki kelele. 😂😂
Your honor comrade nakaa kimya ulinifunza kitu comrade wanguHata wewe uache kelele pesa hazitaki kelele. 😂😂
😁😁😁😁🤣🤣Aige mfano wa min me😂
Na ni mpanda mnazi maarufu kutoka kusini mwa jangwa la SaharaPia anapinga NDOA🤔
Sijui nani alichukua moyo wake akaugeuza mpira wa football
Anakwea nazi halafu akifika juu anapiga kelele ya utamu😂Na ni mpanda mnazi maarufu kutoka kusini mwa jangwa la Sahara
Nashangaa na akili zake anaogopa ndoa. kujifanya kuipinga ndoa. Wenye akili tu ndo wataoa.Pia anapinga NDOA🤔
Sijui nani alichukua moyo wake akaugeuza mpira wa football
Akiona zigo la anitta ana data🤣😁😁Anakwea nazi halafu akifika juu anapiga kelele ya utamu😂
Kama Mimi 😎😎Nashangaa na akili zake anaogopa ndoa. kujifanya kuipinga ndoa. Wenye akili tu ndo wataoa.
Mambo tajiri
Ana duka la vyakula Kariakoo huyumin -me kumbe wewe ni tajiri la matajiri.
Ninga umbeke