ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 19,715
- 72,029
Twende...Mda wa kumuangalia anitta huu twenzetu
Twende...Mda wa kumuangalia anitta huu twenzetu
Bro unazingua..Kwahiyo week nzima unaugulia fukuto la picha za dollar ambazo hazikuhusu???
Unajua wewe dunya nilijua mjinga ila sikujua ni mjinga kwa kiwango hiki??!!!
Hivi hata dollar unazijua? Ushawahi kuzishika??
Nimejua tatizo lako lilipo, umeziona nikiwa nimezishika kwa kuzipanga kwa upande mwingine.!!
Hapo ulitakiwa uombe nizigeuze upande mwingine ili uangalie muhuri.!!
Wee and 100 others si unajisifu uko abroad? Umeshindwa hata kumsaidia dunya lako kumwambia dollar zinafananaje.!!?
Mi hizi dollar kwangu mwenzio za kawaida sana nazikamata km niko kwa Biden kumbe niko kwa mama Kizimkazi pole sana
Haya nimekuwekea kwa ukaribu uziangalie na muhuri uutazame vizuri
NB; Btw Nimekujibu ili kukutoa kamasi kwenye ubongo, ila wajinga km wewe niliacha kuwajibu coz nashusha brand.!
Taifa hauendiTwende...![]()
Sawa swahiba. Tupia Uzi uchangamshe genge bhana 😂😂😂. Niliyoyashuhudia mwezi mmoja wa Ndoa.Tupambane ndio Ila sisi tutafute og sawa😂😂
Tulikubaliana mpaka December hakuna ban. Hata July nadhani hatukuvuka. Na August hii tena tunatafuta nyingine? Yaani wewe kha! 😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️Niliacha kuwajibu Ila hili la dollar nilitaka kumuelewesha ili nimtoe kamasi, nikagundua hataki kujifunza ana chuki binafsi.!
Nwei yeye apambane na life lake aache chuki.
August 13 ndo natimiza mweziSawa swahiba. Tupia Uzi uchangamshe genge bhana 😂😂😂. Niliyoyashuhudia mwezi mmoja wa Ndoa.
Babu kijana😄
Una keki nzuri sana 😋Tupo DSM na MBEYA mjini
Karibuni sana mdogo wenu nisife njaa
Anauza shilling ngapi nimuungishe 😂😂😁Una keki nzuri sana 😋
Muulize yeye mwenyewe, punguza ukorofiAnauza shilling ngapi nimuungishe 😂😂😁
Hiko ni kitambi au sioni vizuri😎
Happy birthday yangu mwezi wa 8 kuuuliza sio dhambiMuulize yeye mwenyewe, punguza ukorofi
Naitwa kaka bonge au ukusikia Jina langu hapo juu nilipotajwa na rafiki yangu kutoka kariakooHiko ni kitambi au sioni vizuri😎
Tar ngapi? Ili niongee na tajiri min me aone jinsi ya kukusponsorHappy birthday yangu mwezi wa 8 kuuuliza sio dhambi
Tarehe 23 😎 aje na mtoto wa kilatiniTar ngapi? Ili niongee na tajiri min me aone jinsi ya kukusponsor
😁😁 unanitukana sio?Tar ngapi? Ili niongee na tajiri min me aone jinsi ya kukusponsor
Tununulie cake! enzo-Aug ephen-Sept😁😁 unanitukana sio?