Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,844
- 57,504
Hahaha...........ni miaka mingi imepita lakini 😜Ahahahahahah kuna mda nikisema wewe Grahams ni mzee wa hovyo unasema mimi nakukosea..
Sasa kwa hivi vitendo vyako mkuu daaah nachoka sana....
Ukute mambo ya hovyo umeacha sasa hivi ila hapo zamani ulikua kijana mmoja wa mambo ya ajabu sana aiseee ahaha
Sasa tumezeeka kweli kweli 🤗
