Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuteteana ni muhimu Mkuu

Mwaka 47 Kuna mwenzetu mmoja alikuwa anatembea na Mke wa jirani yetu, bahati mbaya mume wa yule Dada alirudi ghafla.

Katika kujitetea jamaa akakimbia na kuingia Kwenye nyumba yangu, kumbuka kipindi hicho nilikuwa balozi wa nyumba 10 🤗

Ili kuokoa jahazi, nililazimika kutoka nje na Panga langu eti nami nikijifanya kumtafuta huyo Kijana anayetafutwa 😜
Ahahahahahah kuna mda nikisema wewe Grahams ni mzee wa hovyo unasema mimi nakukosea..

Sasa kwa hivi vitendo vyako mkuu daaah nachoka sana....

Ukute mambo ya hovyo umeacha sasa hivi ila hapo zamani ulikua kijana mmoja wa mambo ya ajabu sana aiseee ahaha
 
Hahaha...........ni miaka mingi imepita lakini 😜

Sasa tumezeeka kweli kweli 🤗
 
IMG_20240702_214219_352.jpg
 
Back
Top Bottom