Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahaha...............hayo mambo Mwaka 47 ilikuwa yanafanyika kwa Siri mno.

Nyie miaka yenu hadi Mwanaume anamtuma mwenyewe Mkewe awe na Kidumu aka Danga ili kumsaidia Majukumu

Madanga ya Mke wangu ~D Voice ft Meja Kunta
[emoji119][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa sanaaa!!! Hatareee tupuu.
 
Lava lava akitulia huwa anatoa [emoji457] kaliii, tatizo [emoji294] hana.

Hii "kibango" angeimba mwingne ilikua ni ngoma ya mwaka kabisaa.

Kila nikiisikia navurugwaa balaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umefurahi nini Mjukuu?

Kwamba Babu ninajua hadi nyimbo za Vijana wa Bongofleva [emoji847]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona sasa kuna mjukuu mkweo hili la mafiga 3 hatakii, au yeye hana taarifa hiyoo? Mkaage nao muwaelezee.

Wanatusumbua sisi huku. Woiiiiih
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona sasa kuna mjukuu mkweo hili la mafiga 3 hatakii, au yeye hana taarifa hiyoo? Mkaage nao muwaelezee.

Wanatusumbua sisi huku. Woiiiiih
Hahaha............wenye huo moyo ni sisi Babu zenu tu 😜

Wasikuhizi hadi watoto wake anaenda kuwapima DNA
 
Unajua baridi Lina madhara Kwa Wazee, kwahiyo ili kujilinda na baridi wengi huamua kujiongeza Kwa hao dogodogo 😜
Alafu mzee wangu sasa naanza kuvua vyeo aiseee.

Ulikua na nyota tatu 🌟 🌟 🌟 ila sasa nishaondoa moja
 
Kwasasa una nyota mbili tuu..
Unatetea sana hao watu
Kuteteana ni muhimu Mkuu

Mwaka 47 Kuna mwenzetu mmoja alikuwa anatembea na Mke wa jirani yetu, bahati mbaya mume wa yule Dada alirudi ghafla.

Katika kujitetea jamaa akakimbia na kuingia Kwenye nyumba yangu, kumbuka kipindi hicho nilikuwa balozi wa nyumba 10 🤗

Ili kuokoa jahazi, nililazimika kutoka nje na Panga langu eti nami nikijifanya kumtafuta huyo Kijana anayetafutwa 😜
 
Back
Top Bottom