Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,431
- 94,847
Bonyokwa hatuna DSTV hata tivii sina, ninunulie boss. Halafu presha na wewe bado sanaTulia dogo, leo belgium wapo fire au presha huangalii mechi?
Bonyokwa hatuna DSTV hata tivii sina, ninunulie boss. Halafu presha na wewe bado sanaTulia dogo, leo belgium wapo fire au presha huangalii mechi?
Mpotezee tuNajibu kile ambacho anaandika, hiyo nitamjibu kwa kadri atachokua anaandika. Vinginevyo sina kwere, nipo nimechill tu nacheck belgium hapa
Ule na ndiziUnaandika utumbo
Basi sawa, subiri nibadili gia niipandishe kwa namna nyingine, sijawahi kuishiwa mbinuBonyokwa hatuna DSTV hata tivii sina, ninunulie boss. Halafu presha na wewe bado sana
Hivi Nkamu mpo serious au mnamtania?Huyu cha umbea anatakiwa akatwe kilimilimi
"Sadism is inevitable when the situation is alarming"Mpotezee tu
Ukimya pia ni jawabu
Leo umepooza babe 🥰🥰🥰
Huna mbinu umeishiwa, kakojoe ukate wengeBasi sawa, subiri nibadili gia niipandishe kwa namna nyingine, sijawahi kuishiwa mbinu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We yako iko wapi? [emoji23][emoji23][emoji23]
Mnapenda kuona midude ya wenzenu utakimbia shauri yako
😂😂😂😂 A na B yote majibuHivi Nkamu mpo serious au mnamtania?
Yes ni muda sana Bantu lady.hapa kati kama nilikuwa sikuoni.Nice to hear from youYes muda sana, nimekuona hapo nami ndiyo nikakukumbuka. Vizuri kama u mzima.
Mm hayo yananihusu vipi?Km wewe ulivyo limbukeni wakakupigia
Mm huwa sijawahi kushindwa jambo, nina mbinu za medani zaidi ya 1000.Huna mbinu umeishiwa, kakojoe ukate wenge
Wote mmesema hakuna anayemtaka mwenzie"Sadism is inevitable when the situation is alarming"
Kanali Lubinga
Njaaaaaaa.
Jinsi nafeel leo nngehitaji uwepo wako 😔Leo umepooza babe 🥰🥰🥰
Ni kweli, nilibanwa nje ya JF. Nikapotea toka mwaka jana miezi ya mwishoni. Mungu ni mwema, tuko salama.Yes ni muda sana Bantu lady.hapa kati kama nilikuwa sikuoni.Nice to hear from you