Ila hii couple kwanini machale yananicheza ni msela au mdada mmoja yupo kwenye kichumba flani gizani na simu mbili, anajiuliza na kujijibu kutuchezea akili, hakunaga ugomvi wa hivi. Hii couple mi nilistuka toka day 1 nikajua tu hii ni tamthilia.
Kwanini mgombanie jf, whatsapp na huko mtaani mmeshindwa kutafutana?
Vitu vyenyewe mnavyojibishana naona mnasifiana tu, mara umepanda cheo, mara huyu mwingine eti ooohh kantry utaniua nakuelewa sana, mara eti ana pesa...
Acheni kuchezea akili za watu aisee.... acheni kutufanya watoto..