Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena ndoa ya kikristooo, nyie hamuogopiiiiii??
Naomba ukibarikiwa mtoto injinia napendekeza aitwe Sumbai.

Leo sijui kwanini, lakini nimefurahi kusikia ulichokiandika pale juu.

Jingine tafadhali, naomba uweke bidii kumaliza mzozo
 
Mmmh wee mzee wa hall V, hata usijari watakua sawa tyuuuh.
Ameen, ameen

Imeandikwa heri wapatanishi, Maana wao wataitwa Wana wa Mungu. Inatupasa tuwapatanishe. Nitafunga Kwa ajili ya group la selfika kusiwe na migogoro
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeanzaa ukorofiiiii!!
We ndugu yake Elton John tulia basi, sasa utataka u quote jf nzima, acha tupate burudani wakitoka kwenye sms wanaingia kwenye video clip mtu analamba aichikirimu...
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Naomba ukibarikiwa mtoto injinia napendekeza aitwe Sumbai.

Leo sijui kwanini, lakini nimefurahi kusikia ulichokiandika pale juu.

Jingine tafadhali, naomba uweke bidii kumaliza mzozo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nipe maana ya jina kwani, afu km ni Masai hivi?

Kuhusi ugomvi watamaliza wao wenyewe, usiwe na wasi wasi.
 
We ndugu yake Elton John tulia basi, sasa utataka u quote jf nzima, acha tupate burudani wakitoka kwenye sms wanaingia kwenye video clip mtu analamba aichikirimu...
Wee nawee uachee umbeaa mxxxxxiiiiiieeeeew!!! Yanakuhusuu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ameen, ameen

Imeandikwa heri wapatanishi, Maana wao wataitwa Wana wa Mungu. Inatupasa tuwapatanishe. Nitafunga Kwa ajili ya group la selfika kusiwe na migogoro
Selfika bila heka heka hainogiii kabisaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha mchachuko uendeleee
 
Back
Top Bottom