Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,242
- 86,918
Wewe uninyooshe mimi? 😂😂😂Mm nakunyoosha vizuri tu alafu mdogo mdogo bila kelele
Ushaanza sifa, kuninyoosha huwezi hilo unajidanganya, ila mimi ndo ntakunyoosha sasa
Wewe uninyooshe mimi? 😂😂😂Mm nakunyoosha vizuri tu alafu mdogo mdogo bila kelele
Ameen, ameenMmmh wee mzee wa hall V, hata usijari watakua sawa tyuuuh.
We ndugu yake Elton John tulia basi, sasa utataka u quote jf nzima, acha tupate burudani wakitoka kwenye sms wanaingia kwenye video clip mtu analamba aichikirimu...umeanzaa ukorofiiiii!!
Subiri uone, uzuri nakuambiaga sina harakaWewe uninyooshe mimi? 😂😂😂
Ushaanza sifa, kuninyoosha huwezi hilo unajidanganya, ila mimi ndo ntakunyoosha sasa
Oya kwa msg hizi mwanangu hyu manzi yeye ndio ana stress za kuachwaHuoni hapo juu nilichokuambia?
Hapa nani alikua anajiliza?
Huna dozi yoyote unayotoa limekushuka hiloo na bado halijakushuka vizuriNaona unajizima data Ila haisaidii kitu, mm natoa dozi kwa kadri utavyokuja.
Chondechonde usipige watuTulia hivyo hivyo maana leo ni weekend huwa sina haraka ya jambo lolote
Uzuri mm huwa sina panic wala aibu kama ww, tulia uoneHuna dozi yoyote unayotoa limekushuka hiloo na bado halijakushuka vizuri
Endelea kujidanganyaSubiri uone, uzuri nakuambiaga sina haraka
Ndio nn hii umeandika?Chondechonde usipige watu
Subiri uone, utaelewaEndelea kujidanganya
Wewe nawe tulia unajua msg za lini hizo? Hizo kipindi penzi liko shatashata. Muulize chanzo kilikuwa nini??Oya kwa msg hizi mwanangu hyu manzi yeye ndio ana stress za kuachwa
Naomba ukibarikiwa mtoto injinia napendekeza aitwe Sumbai.
Leo sijui kwanini, lakini nimefurahi kusikia ulichokiandika pale juu.
Jingine tafadhali, naomba uweke bidii kumaliza mzozo



nipe maana ya jina kwani, afu km ni Masai hivi?Wee nawee uachee umbeaa mxxxxxiiiiiieeeeew!!! Yanakuhusuu?We ndugu yake Elton John tulia basi, sasa utataka u quote jf nzima, acha tupate burudani wakitoka kwenye sms wanaingia kwenye video clip mtu analamba aichikirimu...





Selfika bila heka heka hainogiii kabisaaa,Ameen, ameen
Imeandikwa heri wapatanishi, Maana wao wataitwa Wana wa Mungu. Inatupasa tuwapatanishe. Nitafunga Kwa ajili ya group la selfika kusiwe na migogoro





Wapi nimepanic? Namuoga nani humu? Kuna mtu ananijua??Uzuri mm huwa sina panic wala aibu kama ww, tulia uone
We umeona nini? Ushaanza kupata degedege maandishi hayaonekani?Ndio nn hii umeandika?
Usintishe kwenderSubiri uone, utaelewa