cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,173
Tushaachana
Kila mmoja asonge mbele kama injili![]()





mbona ghaflaaa sanaa?Tushaachana
Kila mmoja asonge mbele kama injili![]()





mbona ghaflaaa sanaa?Yes kakaHorror only?
Endelea kunitafuta nikianza kuteremsha missiles hapa wenzako wataanza kuingilia wanasema nakuonea... endelea..![]()
![]()
Kwanza mmesababisha watoto wazuri wametoroka huu uzi, mmebaki nyie na sura zenu kama umeonja juisi ya Chloroquine.





mbonaa pambeeee!!!!Kwendraa ww kwanza lete wenzio waliokimbia, sura chachu unayo wewe mpk mmeshindwa na coca kwa bwana mmoja, kwani mna sura gani??





kivumbiiii leo. WoiiiiiiihMpotezee NkamuSiwezi kuongea na mtu mjinga mimi. Nkamu huyu kantri anapenda sifa za kijinga, kila muda anajisemesha vimaneno km zai kijiwe nongwa vile
Sasa hapo ndio penyewe unaonaje tukishea?? Ila mimi nataka kushea sehemu nyingine hapa wazipate km udaku. Hapo vipi? Twende kwa Mange kule ndio kwenyewe we huogopi na mimi pia siogopi. Tena kule tunalipwa na tz nzima inapata habari zetu. Hivi vi msg havina ushahidi unaweza kujichatisha hata mwenyewe




kimeumanaaaaaa!!!!Kama ban watu wamepata za kutosha kama kufungwa ushafungwa kifungo si bure unahitaji tambiko![]()






Hilo limwanaume linapenda sana sifa za kijinga Nkamu, sishangai ndiomana walilipigia babe mama wake mxiewwww





kumbee ni yeyeeeeee!!!! DJ waleteeeee😂😂😂😂 ushaanza kuchanganyikiwa, hadi unatafuta mjani ukuboost wakati mwenzio nakoment huku nakuchekaMuda mm ninao wa kutosha sana, tena hii ni weekend na ndio kwanza hapa nakula mjani
Unachelewa nini si uweke, mimi au wewe ndio mpenda misifa humu?? Ulishaona mwanaume anashabikia umbea na kuleta chats zake humu?? Ni wewe kidampa msungo, halafu wanaume wenzio wanakucheka huna tofauti na wanawake wambea
Nimekwambia najua ninachofanya we tulia






Huoni hapo juu nilichokuambia?Hakuna cha kujiona mjinga, kaa kwa kutulia si umelianzisha mimi nitalimaliza.!! Hii nimkuahidi. Weka msg zilizoendelea chini mbona hujamalizia??
Wewe kuonekana lazima sababu unapenda umbea, mi shosti wangu na mmbea mwenzetu.
Uliona jibu nililokupa??
Siwezi kuongea na mtu mjinga mimi. Nkamu huyu kantri anapenda sifa za kijinga, kila muda anajisemesha vimaneno km zai kijiwe nongwa vile






Utajiona mjinga tu kwenye hiloNa mimi zako za naked ninazo, tena zaidi msauti upo clear unajiliza 🤣🤣🤣
Hebu nimtafute mange nchi imepoa inatakiwa ichangamke
Wewe wakutumbue ili tuwe tunashinda tunazogoa vizuri huku si unapenda umbea??
Weka msg zote mbona huweki? Zimeisha?
Yani wewe sijui ni limwanaume gani?? Sijawahi kuona mwanaume ana mambo ya kike km wewe?? Anakuzidi sele?? Humuoni vijiwe vya umbea wala kuchambana na wapenzi wake. Yule jamaa anadeserve kujiita smart. Kazi ipo kwako kisokolokwinyo hupitwi na umbea





kimeumanaaaa leo.Mm mjani nakula kila siku, hii ndio breakfast na dinner yangu😂😂😂😂 ushaanza kuchanganyikiwa, hadi unatafuta mjani ukuboost wakati mwenzio nakoment huku nakucheka
Huyu cha umbea anatakiwa akatwe kilimilimiMpotezee Nkamu
Tag locs dear BLKaribuni Weekend![]()