Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hauko interest halafu unavamia kufungua code, uko sawa kweli?? Mimi nimekwambia wapi? Lini? Una ushahidi?? Ebu acha kunijaza maneno mdomoni. Ww labda km una id yako nyingine ya kutafutia umbea sema mi nitoe.
Kwanza ulikaa mkao gani wakati nakusimulia hayo?
kumekuchaaaa!!!!
 
Wewe ndio mjinga kupoteza muda wako kumsifia mjinga. Yani km mtu timamu kumfata kichaa dampo washirikiane kula uchafu, hapo nani ataonekana kichaa??
Unishauri nini zaidi ya umbea? Katafute wa kushauriana naye sio mimi
Muda mm ninao wa kutosha sana, tena hii ni weekend na ndio kwanza hapa nakula mjani
 
Wewe ni lijinga, furaha yangu naipata kwa ugumu nakuzidi wewe?? Wewe ni mtu mwenye trauma ya kushuhudia jambo zito ambalo linatafuna ubongo wako mpk sasa..!!
Furaha yako inapatikana kwa njia ngumu mno, maisha ya upweke ndio faida yake hiyo
 
Mtu anafungua uzi yeye ni LGBT, leo anakuja kutuambia bwana ake anataka azae nae, sasa natafakari hao watoto anawajamba ama niaje?

Halafu mwenzake ambae ni wewe unamkoleza eti amzalie, nyie akili zenu ni sawa, mmekutana.
Wee wenzako huko PM wananiona wife material na mzaa chema wa wana,
Huu mwakaa naolewa na kuzaa ntazaa, jiandae kuitwa ankolii,
 
Mimi nakuhitaji wewe??
Nawezaje kumuhitaji mwanaume mmbea km lokole? Naona ushapanic unaanza kuleta vitu havipo kabisaa!!! Ww si ndio ulikuwa unajilalamisha nimekulamba block hapa?? Sasa naanzaje kukutafuta? Wewe ujue ni kichaa ukapimwe.

Wapi ulinipuuzia na ndio kwanza ulikuwa unabembembeleza nikupe password yangu ukaangalie ninavyopiga umbea nikakutalia, tena ukajifanya kunipa password yako ili nione ulivyokuwa unawakataa wanawake wa jf. Hebu tulia nisije nikakiamsha nikalambwa ban hapa
jamaniiiiiii!!! Em kiamshe uduguuu!! Haya mambo napenda mie.
 
IMG_6898.jpeg
Beibe Aaliyyah nipe location
 
Back
Top Bottom