cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,312
- 187,977
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] achana naye tuendelee uduguu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] achana naye tuendelee uduguu
Lekcharaaa jamaniii, nshashibaa mie.
Shem hapanaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona unamchapa spana mwichuluwi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em achanaa nae pesa hana, stress zinamsumbuaa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] uduguu njoo shem anatutukana huku eti sie ndio wale backbencher’s wapiga zogo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu niko hapaaa, winjaa winjaaaa!!!Coca kazima [emoji23][emoji23][emoji23]
Ubuyu ulikuwa mzito mpk, mi ndo nashtuka nakuta mnatuteta eti “mbio za sakafuni” lol [emoji23][emoji23]
Uduguuuu umbeaa had unasahau kushika desaa,khaaaah.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mliyepanga kukutana katoa siri mwenzio.
Wee cazeee!!! Nshaipokeaaa hiii, [emoji120][emoji120][emoji120]Kwa mtoto wa shangaz aliyeko humu yeye anajijua tafadhal apokee zawad yake hii
View attachment 3023212
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona umeongea kinyonge sana boss [emoji23]
Hamna bana mi nakuzingua tyuu!! Halafu coca kalewa sio yeye
Nenda kaamulie ugomvi wa udugu wakoLekcharaaa jamaniii, nshashibaa mie.
We utajiona mjinga kwa hiko unachowazaHuhusihani nayo? Sasa tulia, utajua unahusiana nayo vipi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaa!!!!Hauko interest halafu unavamia kufungua code, uko sawa kweli?? Mimi nimekwambia wapi? Lini? Una ushahidi?? Ebu acha kunijaza maneno mdomoni. Ww labda km una id yako nyingine ya kutafutia umbea sema mi nitoe.
Kwanza ulikaa mkao gani wakati nakusimulia hayo?
Muda mm ninao wa kutosha sana, tena hii ni weekend na ndio kwanza hapa nakula mjaniWewe ndio mjinga kupoteza muda wako kumsifia mjinga. Yani km mtu timamu kumfata kichaa dampo washirikiane kula uchafu, hapo nani ataonekana kichaa??
Unishauri nini zaidi ya umbea? Katafute wa kushauriana naye sio mimi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] had wao nao wanatetaa? Aaaah hapanaa haifaiii[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7] mwah [emoji8][emoji182]
Itabidi na coca awepo, ila mmenichekesha na mwenzio 100 others mlivyokuwa mnatusema khaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee sikubaliii tunaenda wotee hukoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Coca atabaki bongo tukale raha wenyewe kwanza
Furaha yako inapatikana kwa njia ngumu mno, maisha ya upweke ndio faida yake hiyoWewe ni lijinga, furaha yangu naipata kwa ugumu nakuzidi wewe?? Wewe ni mtu mwenye trauma ya kushuhudia jambo zito ambalo linatafuna ubongo wako mpk sasa..!!
Ndo hapo sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Coca mshika pochi wangu lazima awepo ili anipe ubuyu live, anaanzaje kukosa?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Wee wenzako huko PM wananiona wife material na mzaa chema wa wana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtu anafungua uzi yeye ni LGBT, leo anakuja kutuambia bwana ake anataka azae nae, sasa natafakari hao watoto anawajamba ama niaje?
Halafu mwenzake ambae ni wewe unamkoleza eti amzalie, nyie akili zenu ni sawa, mmekutana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiiiii!!! Em kiamshe uduguuu!! Haya mambo napenda mie.Mimi nakuhitaji wewe?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nawezaje kumuhitaji mwanaume mmbea km lokole? Naona ushapanic unaanza kuleta vitu havipo kabisaa!!! Ww si ndio ulikuwa unajilalamisha nimekulamba block hapa?? Sasa naanzaje kukutafuta? Wewe ujue ni kichaa ukapimwe.
Wapi ulinipuuzia na ndio kwanza ulikuwa unabembembeleza nikupe password yangu ukaangalie ninavyopiga umbea nikakutalia, tena ukajifanya kunipa password yako ili nione ulivyokuwa unawakataa wanawake wa jf. Hebu tulia nisije nikakiamsha nikalambwa ban hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa km chiziiii,Ww una nongwa zako, na mtu wa kwanza kumzalia uwe wewe ili umuheshimu mama watoto wako [emoji1787][emoji1787][emoji1787]